Prado na T 539 DHL ikielekea Ifakara Leo SAA 7 mchana imegonga Train ya Udzungwa iliyokuwa inaelekea Kidatu/Kilombero na kupitia tukio hilo Watu wawili waliokuwa kwenye Prado wamefariki papo hapo.Yeyote anayeijua gari hiyo namjuza afike Ifakara St Francis Hosp kwa hatua zaidi.
Thursday, 24 November 2016
Thursday, 17 November 2016
Urefu wamtesa Baraka Elias wa Tanzania
Baraka Elias Mashauri, ni kijana Mtanzania mrefu wa futi 7.4, urefu wake usio wa kawaida umemfanya kushindwa kupata matibabu ya kubadilishiwa nyonga baada ya kuanguka nyumbani kwake.
Akizungumza na mwandishi wetu akiwa nyumbani kwake nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Elias amesema ameshindwa kupata matibabu kwa sababu kimo chake.
Elias alipelekwa kwenye Taasisi ya tiba ya mifupa ya Muhimbili, MOI kwa ajili ya uchunguzi wa madaktari, akitokea mkoa wa Ruvuma kusini mwa Tanzania, baada ya kukosa huduma kwa kile kilichoelezwa kutokuwa na wataalam na vifaa vya kumtibu
''Madaktari wa MOI wamesema kuwa vifaa walivyonavyo na wagonjwa waliozoea kuwahudumia ni tofauti na mimi," amesema.
"Hata vifaa vya X-Ray haviwezi kutoa picha halisi ya kuona ukubwa wa kifaa wanachopaswa kuniwekea, pia wamesema vitanda vya kulaza wagonjwa wakifanyiwa upasuaji ni vifupi kwa kuwa mgonjwa anapaswa mwili wote uenee kitandani''.
Kutokana na hali hiyo Elias sasa anasubiri majibu ya madaktari ambao wanafanya mazungumzo na wenzao wanaoshirikiana nao katika shughuli za kitabibu nje ya Tanzania, ili aweze kupata matibabu.
Kurithi
Elias amesema jamii inayomzunguka hushangaa urefu wake, lakini anasema kwake anaona kawaida tu kwa kuwa wazazi wake walimweleza kuwa urefu wake ni wa kurithi.
''Upande wa familia ya Baba na Mama babu zao wote walikuwa warefu kwa hiyo hii hali nafikiri imesababishwa na vinasaba''.
Raisi wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuri ametia saini Sheri za huduma za habari
Rais wa wa Tanzania John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 ambayo imekuwa ikipingwa na wadau katika sekta ya uanahabari nchini humo.
Sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge la Tanzania Jumamosi 5 Novemba mjini Dodoma.
Taarifa kutoka kurugenzi ya mawasiliano ya rais imesema Rais Magufuli alitia saini Sheria hiyo tarehe 16 Novemba na kwamba anaamini sheria hiyo itakuwa na manufaa mengi.
"Naamini kuwa Sheria hii itasaidia kuboresha sekta ya habari kwa manufaa ya wanataaluma wenyewe na Taifa," amesema Rais Magufuli.
Sunday, 30 October 2016
AJARI MBAYA YATOKEA DAR NAKUUWA
Mnamo mida ya jioni jijini dar es salaam yatokea ajari maeneo ya kimara stop over baada ya magari mawili kugongana USO kwa USO.
Magari hayo ni SAFARI CITY iendayo dodoma pamoja na gari kubwa la kubebea mizigo aina ya SCANIA ikiwa inatokea Dar. Na hatimaye kuwaka moto papo hapo na kuuwa idadi kubwa ya watu.
Kwa taarifa zaidi utazipata hapa hapa kwenye blog yetu ya habari mchanganyiko na betallen
Magari hayo ni SAFARI CITY iendayo dodoma pamoja na gari kubwa la kubebea mizigo aina ya SCANIA ikiwa inatokea Dar. Na hatimaye kuwaka moto papo hapo na kuuwa idadi kubwa ya watu.
Kwa taarifa zaidi utazipata hapa hapa kwenye blog yetu ya habari mchanganyiko na betallen
Monday, 24 October 2016
MTEGA IT SOLUTION:WANAKUPA OFA YA HUDUMA MBALIMBALI ZA KIUFUNDI BONYEZA LINK KUJIONEA
1.TUNAWEKA WINDOWS AMBAZO NI ACTIVATED (LAPTOP&DESKTOP)
-WINDOWS XP-5000/=
-WINDOWS 7(All Versions)-5000/=
-WINDOWS 8,8.1-5000/=
-WINDOWS 10(All Versions)-10,000/=
2.TUNAUZA CD ZENYE WINDOWS ACTIVATED(ALL VERSIONS IN 1)-10,000/=
3.TUNAWEKA WINDOWS KWENYE FLASH-5000/=
4.TUNAWEKA ANTVIRUS-10,000/=
5.TUNA UNLOCK SIMU(UMESAHAU NAMBA YA SIRI)-5000/=
6.TUNATENGENEZA LOGO(NEMBO)-5000/=
8.TUNATENGENEZA BLOG ZA KIBIASHARA-25,000/=
9.TUNAREKEBISHA BLOG(KUWA NA MWONEKANO MZURI) KWA AMBAE ANOYO TAYARI-Tsh 15,000/=
10.TUNA LINK BLOG NA FACEBOOK PAGE(kupata watembeleaji wengi)-Tsh 5,000/=
11.TUNATENGENEZA MATANGAZO YA BLOGS(BANNERS)-Tsh 3000/=
12.TUNATENGENEZA LOGO(Binafsi,taasisi,kampuni)-Tsh 5,000/=
NB:UKITENGENEZA BLOG,LOGO UTATENGENEZEWA BURE
KUMBUKA:OFA HII MWISHO TAR 31/10/2016
HUDUMA NYINGINE:Tunaweka whatsapp kwe computer,Adobe PS CS6,CS5,CS3,All offices,IDM,All drivers.
USISITE KUWASILIANA NASI(CALL US & WE WILL COME TO SERVE YOU)
E-Mail:godfreymtega@gmail.com
Ø 0758297744
Ø 0716824009(WhatsApp)
TUNAPATIKANA: MAILIMBILI SOKONI(MKABALA NA KANISA LA TAG)
Subscribe to:
Comments (Atom)





